Nov 14, 2014
ANGALIA PICHA ZA TASWIRA NNE ZA DAVID MOYES AKIWA KATIKA KAZI YAKE
10:59 AM
KOCHA DAVID MOYES AKIWA AMEANZA RASMI KWA MARA YA KWANZA KUKINOA
KIKOSI CHAKE KIPYA CHA REAL SOCIEDAD CHA HISPANIA. KOCHA HUYO WA ZAMANI
WA MAN UNITED AMEANZA KAZI MPYA BAADA YA KUTIMULIWA NA MASHETANI HAO NA
NAFASI YAKE KUCHUKULIWA NA LOUIS VAN GAAL AMBAYE HATA HIVYO BADO HAJAKAA
VIZURI. MOYES AMESAINI MKATABA WA MIEZI 18 KUINOA TIMU HIYO YA HISPANIA