Wazazi
wa Lionel Messi na ndugu zake wawili ilibidi waondolewe jukwaani na
kupelekwa sehemu nyingine kwa ajili ya usalama wao kufuatia mashabiki wa
Chile kuwashambulia wakati mchezo wa fainali ya Copa America unaendelea
kati ya Argentina dhidi ya Chile jana usiku.
Dakika chache kabla ya timu
kwenda mapumziko kwenye dimba la Estadio Nacional, Santiago, kaka yake
Messi Rodrigo alipigwa na kitu ambacho kilirushwa na mashabiki wa Chile
na ilibidi familia hiyo ihamishwe na walinzi wa uwanjani na kupelekwa
kwenye sehemu yenye usalama zaidi ambapo waliangalia mchezo huo kupitia
television za uwanjani.
Matusi
kutoka kwa mashabiki wa Chile kwenda kwa ndugu wa nyota huyo wa
Argentina ambaye jana alishindwa kutwaa kombe kwenye fainali yake ya
pili akiwa na timu yake ya taifa, matukio hayo yalifanya walinzi
waihamishe familia hiyo kwasababu za kiusalama zaidi.
Chile walimaliza ukame wao wa
mataji baada ya kusubiri kwa miaka 99 lakini jana wakapata ushindi wa
penati 4-1 mbele ya Argentina na kutwaa kombe la Copa America.
Familia ya Aguero pia ilikumbana
na matusi kutoka kwa mashabiki wa Chile wakati mechi inaendelea, wazazi
wa Messi Celia na Jorge kaka yake Rodrigo pamoja na Matias, walitarajia
ndugu yao angetwaa taji hilo na kukata ukame wa makombe ilionao
Argentina ikiwa imetwaa kombe kwa mara ya mwisho mwaka 1993.
Uwanjani mambo hayakuwa mazuri
pia kwa upande wa Messi kutokana na kufanyiwa rafu mara kadhaa kutoka
kwa wachezaji wa Chile ikiwa ni pamoja na tukio la kupigwa teke tumboni
na Gary Medel.
Nyota
huyo wa Barcelona alifunga penati yake kwenye hatua ya kumpata mshindi
kwa changamoto ya matuta lakini Gonzalo Higuan na Ever Banega walikosa
na kuikosesha ushindi Argentina.
Bosi wa Manchester City
Manuel Pellegrini anataraji kumnasa mshambuliaji wa Liverpool Raheem
Sterling akiamini ofa yao mpya ya pauni milioni 45 itatosha kumaliza
mchezo.
City tayari imeshashuhudia ofa zake mbili za mwanzo zikipigwa chini na
Lioverpool mojawapo ikiwa ni ile ya pauni milioni 35.
Liverpool inataka dau litakalokaribia pauni milioni 50, lakini City
inaamini pauni milioni 45 si haba kwa mshambuliaji huyo mwenye umri wa
miaka 20.
Raheem Sterling
Digsby
IM, Email, and Social Networks in one easy to use application!
http://kvors.com/click/?s=88377&c=89569&subid=21715
JEURI YA PESA: Manchester City itamsajili Raheem Sterling kwa dau la
pauni milioni 45
Ingawa Sterling anatarajiwa kuripoti kwenye uwanja wa mazoezi ya
Liverpool - Melwood training complex siku ya Jumapili tayari kwa
maandalizi ya msimu mpya, inaaminika hatadumu sana hapo kabla ya
kujiunga na City.
Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/manchester-city-yapanda-dau-ili-kumnasa.html
Copyright © saluti5

MANCHESTER CITY YAPANDA
DAU ILI KUMNASA RAHEEM STERLING ...yaweka mezani pauni milioni 45
A+ A-
Print Email
Bosi wa Manchester City Manuel Pellegrini anataraji kumnasa mshambuliaji
wa Liverpool Raheem Sterling akiamini ofa yao mpya ya pauni milioni 45
itatosha kumaliza mchezo.
City tayari imeshashuhudia ofa zake mbili za mwanzo zikipigwa chini na
Lioverpool mojawapo ikiwa ni ile ya pauni milioni 35.
Liverpool inataka dau litakalokaribia pauni milioni 50, lakini City
inaamini pauni milioni 45 si haba kwa mshambuliaji huyo mwenye umri wa
miaka 20.
Raheem Sterling
Digsby
IM, Email, and Social Networks in one easy to use application!
http://kvors.com/click/?s=88377&c=89569&subid=21715
JEURI YA PESA: Manchester City itamsajili Raheem Sterling kwa dau la
pauni milioni 45
Ingawa Sterling anatarajiwa kuripoti kwenye uwanja wa mazoezi ya
Liverpool - Melwood training complex siku ya Jumapili tayari kwa
maandalizi ya msimu mpya, inaaminika hatadumu sana hapo kabla ya
kujiunga na City.
Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/manchester-city-yapanda-dau-ili-kumnasa.html
Copyright © saluti5
Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/manchester-city-yapanda-dau-ili-kumnasa.html
Copyright © saluti5
Bosi wa Manchester City
Manuel Pellegrini anataraji kumnasa mshambuliaji wa Liverpool Raheem
Sterling akiamini ofa yao mpya ya pauni milioni 45 itatosha kumaliza
mchezo.
City tayari imeshashuhudia ofa zake mbili za mwanzo zikipigwa chini na
Lioverpool mojawapo ikiwa ni ile ya pauni milioni 35.
Liverpool inataka dau litakalokaribia pauni milioni 50, lakini City
inaamini pauni milioni 45 si haba kwa mshambuliaji huyo mwenye umri wa
miaka 20.
Raheem Sterling
Digsby
IM, Email, and Social Networks in one easy to use application!
http://kvors.com/click/?s=88377&c=89569&subid=21715
JEURI YA PESA: Manchester City itamsajili Raheem Sterling kwa dau la
pauni milioni 45
Ingawa Sterling anatarajiwa kuripoti kwenye uwanja wa mazoezi ya
Liverpool - Melwood training complex siku ya Jumapili tayari kwa
maandalizi ya msimu mpya, inaaminika hatadumu sana hapo kabla ya
kujiunga na City.
Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/manchester-city-yapanda-dau-ili-kumnasa.html
Copyright © saluti5
Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/manchester-city-yapanda-dau-ili-kumnasa.html
Copyright © saluti5
URI YA PESA: Manchester
City itamsajili Raheem Sterling kwa dau la pauni milioni 45