NA Haji balou
Ligi ya mbuzi vijana cup imeendelea tena leo may 22 kwa mchezo mmoja kati ya kati ya Black star dhidi ya Wakaanga Sumu
Lakini timu ya Black star haikujitokeza uwanjani na haijatoa taarifa yeyote kwa uongozi wa Ligi .
Uongozi wa ligi unalazimika kutoa pointi tatu kwa timu ya Wakaanga Sumu kupewa ushindi wa goli tatu na point 3.
Kesho kutakuwa na mchezo kati ya Kigamboni fc Vs Mnalani fc
Mchezo wa kesho unatarajia kuwa mchezo wa mkali kwakuwa Kigamboni wanataka kuendeleza kuweka rekodi ya kutokupoteza mchezo wowote katika Ligi.