Ligi Kuu ya Uingereza itaendelea
tena tarehe 22 kwa michezo ya mzunguko wa 12 kufuatia kuwa na michezo ya
kimataifa itakayopigwa wikiendi hii.
Wikiendi iliyopita baadhi ya timu zilifanya
vizuri huku nyingine zikipata matokeo yasiyoridhisha aidha kwa kutoka
sare au kufungwa.
Nyota kadhaa walionyesha juhudi binafsi
katika kutoa mchango kwa timu zao kufanya vizuri hivyo kuchaguliwa
kuunda kikosi bora cha wiki ya 11 tangu Ligi Kuu hiyo maarufu ianze
mwezi Agosti.
Kifuatacho ni kikosi bora cha EPL cha wiki ya 11:
#
Mchezaji
Timu
1
Brad Guzan
Aston Villa
2
Daryl Janmaat
Newcastle United
3
Cesar Azpilicueta
Chelsea
4
Ryan Shawcross
Stoke City
5
Fabricio Coloccini
Newcastle United
6
Emre Can
Liverpool
7
Remy Cabella
Newcastle United
8
Oscar
Chelsea
9
Sergio Aguero
Manchester City
10
Charlie Austin
QPR
11
Jefferson Montero
Swansea City