Na Haji balou
Kocha mpya wa Manchester City Pep Guardiola anampango wa kumsajili kipa namba moja wa Timu ya Taifa ya Chile Na Klabu ya Fc Barcelona ya nchini Hispania Claudio Bravo.
Guardiola anataka kumsajili Bravo ambaye ameisaidia Timu yake ya Taifa kushinda kombe la Copa America lakini pia...