NYOTA
wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo kwa sasa anashika nafasi ya 29 katika
orodha ya washambuliaji bora wa ligi tano kubwa Ulaya wakati nyota wa
Barcelona, Lionel Messi anashika nafasi ya kwanza.
Shirika la CIES Football Observatory limeorodhesha
wachezaji wachezaji bora katika vipengele vitano mwaka huu, likitukia
vigezo vya kitaalamu kama kupiga mashuti, kutengeneza nafasi, kuwatoka
wapinzani, kusumbua na makali yao uwanjani kwa ujumla.
Katika
chati hizo, ajabu Gael Clichy wa Manchester City ametajwa beki bora
kulia na Mesut Ozil wa Arsenal ameshika namba katika nafasi ya kiungo
mshambuliaji kwa pamoja na Eden Hazard wa Chelsea.
Cristiano Ronaldo anashika nafasi ya 29 katika orodha ya washambuliaji bora kutoka ligi tano Ulaya mwaka 2015
Ronaldo
amefunga mabao sita tu katika La Liga mwaka huu tangu ashinde Ballon
d'Or katikati ya Januari, na mpinza ni wake, Messi amempiku mshambuliaji
huyo wa Real Madrid kwa mabao yake 19 huku Barcelona ikiongoza Ligi kwa
pointi nne zaidi.
Messi, akiongoza orodha hiyo kwa pointi 100 anafuatiwa na mchezaji wa Bayern Munich, Arjen Robben (92), Bas Dost wa Wolfsburg (77) na Luis Suarez wa Barcelona (71).
WASHAMBULIAJI 10 BORA ULAYA KWA MUJIBU WA CIES FOOTBALL OBSERVATORY
1. Lionel Messi, Barcelona (100)
2. Arjen Robben, Bayern Munich (92)
3. Bas Dost, Wolfsburg (77)
4. Luis Suarez, Barcelona (71)
5. Diego Costa, Chelsea (61)
=6. Harry Kane, Tottenham Hotspur (57)
=6. Marco Reus, Borussia Dortmund (57)
8. Lucas Barrios, Montpellier (56)
9. Pierre-Emerick Aubameyang, Borussia Dortmund (55)
10. Christophe Mandanne, Guingamp (54)
Nyota wa Barcelona, Messi anaongoza kwa mujbu wa CIES Football Observatory
MABEKI BORA 10 WA KATI
1. Emir Spahic, Bayer Leverkusen (100)
2. Martin Demichelis, Man City (89)
3. Mats Hummels, Borussia Dortmund (79)
4. Chris Smalling, Man Utd (76)
5. Thiago Silva, PSG (71)
=6. David Luiz, PSG (69)
=6. Stefan de Vrij, Lazio (69)
8. Marcos Rojo, Man Utd (68)
=9. Konstantinos Manolas, Roma (64)
=9. Neven Subotic, Borussia Dortmund (64)
MABEKI BORA 10 WA PEMBENI
1. Gael Clichy, Man City (100)
2. Marcelo, Real Madrid (75)
=3. Marcio Rafinha, Bayern Munich (72)
=3. Wendell Nascimento, B Leverkusen (72)
5. Pablo Zabaleta, Man City (70)
=6. David Alaba, Bayern Munich (69)
=6. Jordi Alba, Barcelona (69)
8. Layvin Kurzawa, Monaco (68)
9. Dusan Basta, Lazio (67)
10. Juan Bernat, Bayern Munich (65)
Gael Clichy (kushoto), pichani katika mechi ya Liverpool All-Star, ndiye beki bora wa pembeni, wakati Marcelo ni wa pili
VIUNGO 10 BORA WAKABAJI
1. Nuri Sahin, Borussia Dortmund (100)
2. Paul Pogba, Juventus (96)
3. Fernandinho, Man City (94)
4. Lucas Biglia, Lazio (89)
5. Ilkay Gundogan, Borussia Dortmund (87)
6. Marco Verratti, PSG (85)
7. Clement Chantome, Bordeaux (84)
8. Xabi Alonso, Bayern Munich (79)
9. Bastian Schweinsteiger, B Munich (78)
10. Arturo Vidal, Juventus (77)
VIUNGO 10 BORA WASHAMBULIAJI
=1. Eden Hazard, Chelsea (100)
=1. Mesut Ozil, Arsenal (100)
3. Jesus Navas, Man City (86)
4. Kevin de Bruyne, Wolfsburg (85)
5. Shinji Kagawa, Borussia Dortmund (84)
6. Marek Hamsik, Napoli (79)
7. David Silva, Man City (77)
8. Maximilian Meyer, Schalke (73)
=9. Roberto Pereyra, Juventus (72)
=9. Javier Pastore, PSG (72)
0 maoni:
Post a Comment