NA Haji balou
Mchezaji wa zamani wa Manchester united Edwin van der sar amesema kuwa kocha Luis van gaal ni mmoja kati ya makocha bora ambao yeye amewahi kufanya nao kazi hivyo anawataka mashabiki wa United kumwamini mholanzi huyo.
Van der sar alicheza chini ya Van gaal katika timu ya Ajax ya kwao uholanzi ambapo wote walishinda ligi ya mabingwa Ulaya mwaka 1995 kabla ya kukaa miaka sita katika klabu ya Manchester united chini ya kocha Sir Alex Ferguson.
Van der sir aliongeza kuwa kwangu Van gaal ni kocha bora milele kwani alikuwa njia ya Mimi kupata mafanikio alitufunza mengi sana tukiwa kama wachezaji vijana.
0 maoni:
Post a Comment