Na Haji balou
Mpambano kati ya Kubota fc Na Wakaanga sumu fc umemalizikaa kwa Wakaanga Sumu fc kuibuka Na ushindi wa goli 1- 0 katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Shule ya msingi Muungano.
Goli pekee la Wakaanga Sumu fc limefungwa Na Ema Ema katika dakika ya 60.
0 maoni:
Post a Comment