Na Haji balou
Klabu ya Real madrid tayari Kutoa euro million 35 ili kumnasa kipa namba moja wa Totenham Na Timu ya taifa ya Ufaransa Hugo Lloris.
Kama Hugo Lloris atajiunga Na Real Madrid atakuwa mchezaji watatu kujiunga Na Real Madrid akitokea Totenham kwa kipindi cha hivi karibuni wachezaji wengine ni Gareth Bale, Luka Modric Na Emmanuel aliye enda kwa mkopo.
0 maoni:
Post a Comment