Mar 10, 2015

MECHI YA AZAM FC NA MGAMBO YAAHIRISHWA, SASA JUMAMOSI

Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Azam FC dhidi ya Mgambo Shooting uliokuwa ufanyike kesho Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga sasa nao umesogezwa hadi Jumamosi.

0 maoni:

Post a Comment