Apr 11, 2015

RAHEEM STERLING 'AZINUNIA' JEZI MPYA ZA LIVERPOOL

MSHAMBULAJI Raheem Sterling hakuwa mwenye furaha wakati anapiga picha la tangazo la jezi mpya za nyumbani za Liverpool kwa ajili ya msimu ujao.
Sterling ametishia kuondoka Liverpool ili aende klabu nyingine akatimize ndoto za kutwaa mataji, lakini jana ameshiriki tangazo la jezi mpya za msimu ujao, zoezi ambalo lilifanyika Uwanja wa  Anfield.
Wengine walioshiriki zoezi hilo Sterling mwenyewe, Daniel Sturridge, Martin Skrtel na Simon Mignolet Ijumaa mchana.
Raheem Sterling
The Liverpool stars, including goalkeeper Simon Mignolet in his new jersey, made their way to Anfield to present the kit to the fans
Nyota wa Liverpool, wakiwemo kipa Simon Mignolet wameshiriki tangazo la jezi mpya za nyumbani msimu ujao.

0 maoni:

Post a Comment