Kama alivyolelewa Messi na kuja kuwa
mchezaji tegemezi wa Barcelona ndivyo hivyo inavyojaribiwa kwa Kubo
ambae tayari ameshapewa jina la Japanese Messi. Kubo mwenye miaka 13
amelazimika kurudi kwao Japan na kujiunga na timu ya FC Tokyo kwa na
kuendelea kucheza soka. Kubo alikua La Masia academy ya Barcelona lakini
FIFA iliiambia Barca wamevunja sheria kwa kusaini wachezaji wadogo.
Kilichotokea ni kwamba kutokana na Barcelona kuvunja sheria za
usajili, hivyo basi Kubo atacheza huko hadi akifika miaka 18 anaweza
kujiunga tena na Barcelona. Manchester city na Arsenal ni club ambazo
zimeonyesha kumuhitaji mchezaji huyu.Cheki hii video ya Kubo akiwa kwenye action
0 maoni:
Post a Comment