BAADA ya jana kuona kikosi bora cha VPL 2014/2015 kilichopendekezwa na kocha Joseph Kanakamfumu, leo tuliahidi kukuletea kikosi bora cha kocha wa Mgambo JKT, Bakari Shime.
KIKOSI BORA CHA VPL 2014/2015 KILICHOPENDEKEZWA NA BAKARI SHIME HII HAPA;
- Mohamed ally Yusuph (Tanzania Prisons)
- Hamad Juma (Coastal Union)
- Yassin Mustafa (Stand United)
- Shomari Kapombe (Azam fc)
- Salim Mbonde (Mtibwa Sugar)
- Jonas Mkude (Simba)
- Simon Msuva (Yanga)
- Ally Nassor (Mgambo)
- Rashid Mandawa (Kagera Sugar)
- Ibrahim Ajib (Simba)
- Malim Busungu (Mgambo)
0 maoni:
Post a Comment