SALEH ALLY, Mwandishi mwandamizi wa gazeti la michezo la Championi na mchambuzi wa soka naye ametaja kikosi chake bora cha VPL 2014/2015.
- Ally Mustafa ‘Bartez’ (Yanga)
- Hassan Ramadhan Kessy (Simba)
- David Charles Luhende (Mtibwa Sugar)
- Salim Mbonde (Mtibwa Sugar)
- Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (Yanga)
- Raphael Alfa (Mbeya City)
- Simon Msuva (Yanga)
- Haruna Niyonzima (Yanga)
- Amissi Tambwe (Yanga)
- Rashid Mandawa (Kagera Sugar)
- Emmanuel Okwi (Simba)
WACHEZAJI WA AKIBA
- Rashid Abdallah (Ruvu Shooting)
- Mohamed Hussen ‘Tshabalala’ (Simba)
- Mbuyu Twite (Yanga)
- Abdi Banda (Simba)
- Peter Mwalyanzi (Mbeya City)
- Malim Busungu (Mgambo)
- Said Ndemla (Simba)
Saleh Ally maarufu kama Saleh Jembe amemtaja Hans van der Pluijm wa Yanga kuwa ndiye kocha bora wa msimu wa 2014/2015.
0 maoni:
Post a Comment