Mshambuliaji
wa kimataifa wa Chile, Alexis Sanchez (kulia) akishangilia baada ya
kuifungia mabao mawili Arsenal katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Hull City
mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa KC. Bao lingine la
Arsenal lilifungwa na Aaron Ramsey wakati la Hull lilifungwa na Stephen Quinn.
0 maoni:
Post a Comment