Kocha Arsene Wenger wa Arsenal sasa anataka kuimarisha safe take ya ushambuliaji.
Wenger anataka kumsajili mshambuliaji nyota wa zamani wa Manchester United, Javier Harnandez maarufu kama Chicharito.
Chicharito sass anakipiga katika klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani na amekuwa aking’ara katika Bundesliga.
Raia
huyo wa Mexico, Chicharito ,27, alijiunga na klabu hiyo ya Ujerumani kwa
ada ya pauni million 7 na tayari ametupia mabao 19 katika me chi 21
alizoichezea timu take msimu huu.
Kwa
sass safe ya ushambuliaji ya Arsenal in a mshambuliaji mmoja tu wa kati
ambaye ni Olvier Giroud aria wa Uafaransa huku wengine kama Danny
Welbeck wakiwa majeruhi.
Hata
hivyo, Wenger anaangalia upande mwingine kama ataweza kumpata bila ada,
mshambuliaji nyota wa Leicester City, Riyad Mahrez raia wa Algeria
ambaye hata hivyo tayari anatupiwa macho na klabu kibao zikiwemo Man
United na Tottenham.
0 maoni:
Post a Comment