Licha ya Barry kusema kwamba Diego Costa hakumng’ata kwenye mechi ya
weekend iliypita, FA imemkuta Costa na makosa na wamempa hadi Alhamisi
akatoe maelezo.
Diego Costa ameonekana aking’ata Barry kwenye mechi yao ambapo hadi
alama za meno zilionekana kwenye picha video. FA imetoa statement
kwamba, “Ni tabia isiyokubalika, baada kuonyeshwa kati ya pili
ya njano na bado anaonyesha tabio isiyokubalika uwanjani. Hadi Alhamisi
saa 12 jioni ndio muda aliopewa kutoa maeleozo”
Kwa hiyo hadi Alhamisi ambapo Costa atatoa maelezo kuhusu hili tatizo
na chama cha soka cha England kitatoa hukumu yake juu ya Costa.
Mar 15, 2016
FA WAMEAMUA HIVI KUHUSU DIEGO COSTA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 maoni:
Post a Comment