Na Haji balou
Timu ya Liverpool ipo mbioni kuinasa saini ya kiungo wa Bayern Munich Mario Gotze Na hii ni kwamujibu wa
Mwanahabari wa kicker Jorg Jakob.
Gotze mwenye umri wa miaka 23 amejitahidi kupata namba
mara kwa mara katika kikosi cha kwanza chini ya Pep Guardiola katika
timu yake ya Bayern Munich.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani amekuwa akihusishwa na kuondoka Allianz Arena na inasemeka anaweza kujiunga na bosi wake wa zamani Jurgen Klopp
Kwenye klabu ya Liverpool.
0 maoni:
Post a Comment