Na Haji balou
Mchezo wa Ligi ya Mbuzi Vijana Cup imeendelea tena hii Leo Kwa Mchezo kati ya Kigamboni fc dhidi Mnalani Mchezo ambao umemalizika Kwa Kigamboni kuibuka Na Ushindi wa goli 2-1.
Ligi hiyo inaendelea tena hapo kesho Kwa Mchezo mmoja kupigwa kati ya
Vijuso dhidi ya Sido mchezo utakao pigwa katika uwanja wa shule ya msingi muungano.
0 maoni:
Post a Comment