Na Haji balou
Timu ya Liverpool ipo tayari kutoa Euro million 30 kwa Timu ya Southampton kwaajili ya kuinasa saini ya Mshambuliaji wa Timu hiyo Sadio Mane Raia wa Senegal.
Kocha wa Liverpool Juggen kloop amekuwa akimfuatilia kwa karibu Mshambuliaji huyo tangu alipo wafunga goli mbili katika mchezo wa Ligi mwishoni mwa msimu uliopita.
0 maoni:
Post a Comment