Kiungo
Lansana Kamara (kushoto) akiwa na Meneja wake, Gibby Kalule baada ya
kuwasili Uwanja wa Ndege wa KImataifa wa Julius Nyerere (JKNI), Dar es
Salaam jana. Mchezaji huyo raia wa Sierra Leone aliyekuwa anacheza
Sweden, amekuja Tanzania kutafuta timu ya kuchezea na yuko tayari kwa
majaribio. |
0 maoni:
Post a Comment