TUNAENDELEA kuangalia vikosi bora vya makocha wa timu za ligi kuu soka Tanzania bara, makocha wasiokuwa na timu na wachambuzi wa soka kwa msimu wa 2014/2015.
Jana tulikuwekea kikosi bora kilichopendekezwa na kocha wa Mbeya City fc, Juma Mwambusi na tukaahidi kukupatia kikosi bora cha kocha wa Mtibwa Sugar, Mecky Mexime….
Hiki ndicho kikosi bora cha ligi kuu soka Tanzania bara msimu 2014/2015, kwa mujibu wa Mexime;
- Said Mohamed (Mtibwa Sugar)
- Hassan Ramadhan Kessy (Simba)
- David Charles Luhende (Mtibwa Sugar)
- Salim Mbonde (Mtibwa Sugar)
- Nadir Haroub Ali ‘Cannavaro’ (Yanga)
- Mudathir Yahya (Azam fc)
- Simon Msuva (Yanga)
- Haruna Niyonzima (Yanga)
- Amissi Tambwe (Yanga)
- Rashid Mandawa (Kagera Sugar)
- Emmanuel Okwi (Simba)
0 maoni:
Post a Comment