Msimu umeisha wachezaji mbalimbali kutoka kwenye timu tofauti duniani
wanahama kutoka kwenye timu moja hadi nyingine. Huko Ulaya mambo ni
yamoto kwa upande wa kijana Pogba na hapa bongo hii ndio habari mpya.
Hawa ni wachezaji wawili wa Simba ambao wametoa taarifa kwenye page
zao za social mediak kwamba hawatakuwa tena na Simba msimu ujao.
May 13, 2015
WAWILI WATEMWA SIMBA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 maoni:
Post a Comment