Timu ya Manchester City imeibuka na ushindi wa goli 4-0 dhidi ya Crystal palace katika mchezo wa ligi kuu nchini England magoli ya City yamefungwa na Delph dk 22 Aguero 41,68 Na goli LA mwisho lilifungwa Na David Silva dk 84
Matokeo mengine.
Chelsea imetoka sare ya goli 3-3 dhidi ya Everton magoli ya Chelsea yamefungwa Na Costa 64, Fabregas 66 Na Terry 90 Na magoli ya Everton yamefungwa Na Millarlas 55, More 90 Na goli LA kujifunga la Terry 50.
Bournemouth 3-0 Norwich
Southampton 3-0 West brom
Newcastle 2-1 West ham
0 maoni:
Post a Comment