Na Haji balou
Leo April 17 uwanja wa Taifa
Dar es Salaam Simba wamekubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Toto Africans na kuendeleza rekodi yao ya kusumbuliwa na Toto kila mara
wanapokutana.
Leo April 17 uwanja wa Taifa
Dar es Salaam Simba wamekubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Toto Africans na kuendeleza rekodi yao ya kusumbuliwa na Toto kila mara
wanapokutana.
Simba kabla ya
mchezo wa leowa Ligi Kuu walikuwa na rekodi ya kushinda mechi zaidi ya 6 mfululizo baada ya kufungwa na Yanga mzunguuko wa pili.
Toto Africans waliifunga Simba dakika ya 21 kupitia kwa kupitia kwa mshambuliaji wao Waziri Junior ambaye alitumia umahiri mkubwa wa kupokea mpira na kuuweka kifuani halafu kupiga shuti nje ya 18 na kumshinda golikipa wa Simba
Vicent Agban.
Vicent Agban.
Mapema kipindi cha pili mchezaji wa simba Hassan kessy alioneshwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu Edward Christopher.
0 maoni:
Post a Comment