Na Haji balou
Ligi ya Mbuzi Vijana cup imeendelea tena hii Leo kwa mchezo mmoja kupigwa katika uwanja wa shule ya msingi muungano katika kuhitimisha hatua ya makundi kati ya Sido fc dhidi ya Vijuso fc mchezo ambao umemalizika kwa Sido kuibuka Na goli 1-0.
Goli pekee la Sido fc lilifungwa Na Haikosi mpwate katika dakika ya 65 ya mchezo huo ligi hiyo itaendelea tena tarehe 26 mwezi huu kwa mechi za robo fainali.
Timu zilizoingia hatua ya robo final katika kundi A Kigamboni, Kombaini, Mnalani, na Likongowele.
Kundi B ni Sido, Bodaboda, Wakaanga sumu na Vijuso.
0 maoni:
Post a Comment