Na Haji balou
Hatua ya robo final ya ligi ya mbuzi vijana cup imeanza Leo kwa mchezo mmoja kupigwa katika uwanja wa Shule ya msingi muungano.
Mchezo huo ulikuwa ni kati ya wakaanga sumu fc dhidi ya kigamboni fc Mchezo ulio malizika kwa wakaanga sumu kuibuka Na ushindi wa goli 2-1.
0 maoni:
Post a Comment