MSHAMBULIAJI nyota wa Simba SC, Emmanuel Okwi amesema Uwanja wa
Mkwakwani, Tanga haufai kabisa kwa mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania
Bara kwa sababu eneo la kuchezea ni baya.
Akizungumza na BIN ZUBEIRY jana baada ya mechi dhidi ya wenyeji, Coastal Union ya Tanga, Mganda huyo alisema kwamba hakuna namna ambavyo hata mchezaji nyota anaweza kucheza vizuri Mkwakwani.
“Kila nilichojaribu kufanya leo (jana) kilikuwa kigumu, Uwanja mbaya kabisa, lakini tutafanya nini na hii ndiyo ligi yetu na hivyo ndivyo viwanja vyetu,”alisema Okwi.
Simba jana ilazimishwa sare ya 0-0 na Simba SC Uwanja wa Mkwakwani, Tanga katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Hakukuwa na mchezo wa kuvutia sana kutokana na timu zote kucheza mipira mirefu kwa kuhofia ubovu wa Uwanja wa Mkwakwani na matokeo hayo yanafanya Coastal ifikishe pointi 18, wakati Simba SC inatimiza pointi 17.

Emmanuel Okwi amesema Uwanja wa Mkwakwani haufai kwa mechi za Ligi Kuu |
Simba jana ilazimishwa sare ya 0-0 na Simba SC Uwanja wa Mkwakwani, Tanga katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Hakukuwa na mchezo wa kuvutia sana kutokana na timu zote kucheza mipira mirefu kwa kuhofia ubovu wa Uwanja wa Mkwakwani na matokeo hayo yanafanya Coastal ifikishe pointi 18, wakati Simba SC inatimiza pointi 17.
0 maoni:
Post a Comment