Kwa jina kamili anajulikana kama hemed kavu al maarufu HK.. a.k.a
hyperman hk kijana mwenye kipaji chakugundua na kukuza vipaji vya
vijana mbalimbali, wasanii wengi wanaofanya vizuri kwa sasa wamepita
kwenye mikono ya hyperman hk nakupata njia nzuri ya mafanikio yao.
kipindi cha miaka nane au sita iliyopita alikuwa Anafanya kazi club
bilicanas hapo alikuwa na program yake yakukuza vipaji inayoitwa JAM
SESSION.. Ilikuwa inaanza saa8 mchana mpaka saa1 usiku program hii
imewakuza wasanii wengi sana akiwemo CHIDY BENZI,BOB JUNIOR,MR
BLUE,DULLY SYKES,SUMER LEE,C PWAA,ALI KIBA,MATONYA,MB DOG, na wengine
kibao..mwaka 2008 aliamia new maisha club na kundeleza gurudumu lake la
kukuza vipaji mbalimbali na kuamua kuanzia kusimamia wasanii kama
manager miaka ya 2000.ambapo alikuwa na msanii chipukizi ytony ambaye
kwa muda mrefu aliomba kumenejiwa na hk.. hapo ndipo hk akaamua kumpa
nafasi kijana huyo ya kuwa msanii wa kwanza kupata bahati ya kufanya
kazi na hk kama mtu na msanii wake. ytony mpaka sasa anatamba na ngoma
kama MASEBENE,MY SHITOBE,NA MAMA aliomshirikisha Barnabas... baadae
akamchukua marehemu sharo milionea mwaka 2012 na kufanikiwa kurecod nae
ngoma mbalimbali ikiwemo ile aliyoimba na Ali kiba ya changanyachanganya
lakini kwa bahati mbaya alifaiki dunia.[r.i'p sharo. ] hapo ndipo hk
alipoongeza msanii mwingine wa kike ajulikanae kama SNURA MUSHI ..
aliehit na ngoma zake kama MaJANGA,NIMEVURUGWA,USHAHARIBU N,K.. HK ana
kipaji chakugundua ngoma mbalimbali zinazoweza kuwa ngoma kubwa sana pia
ana upeo mkubwa wakutengeneza title ya nyimbo zinazohit kama wimbo wa
masebene, majnga,na risasi kidole ya mashujaa band iliyoimbwana chalz
baba.. hizi ni baadhi ya nyimbo alizozitengeneza hyperman hk.Pia
anauwezo mkubwa wakukuza nyimbo na kujulikana na kuwa nyimbo kubwa
tanzania akiamua kuifanyia nyimbo promotion kwa mfano ngoma kama chungwa
ya suma lee NA HAKUNAGA,VIMEPANDA BEI BLADY KEY,NAINAI OMMY
DIMPOZI,MAWAZO DIAMOND,DARE SALAAM STAND UP YA CHIDY BENZI,MAJANGA YA
SNURA,MASEBENE YA Y TONY,KIZUNGUZUNGU YA SSHARO MILIONEA,SINDELELA YA
ALI KIBA,WA ALADE YA BARNABAS, N,K
BOB JUNIOR akiwa na hk
mr blue akiwa na hk
RADO Akiwa nyumbani kwa HK
sumer lee akiwa nyumbni kwa hk
CHIDY BENZ akiwa nyumbani kwa HK
Wasanii mbalimbali wanapenda kutembela na kukutana na hk kwa ajili yaa
ushauri au kusikiliza nyimbo zao pindi wanapozitoa tu kbla ya kuzipeleka
kokote pale umpa hk na kuwapa majibu ya ngoma zao,kama kali au zio
kali.
HK akiwa na ESTHER WASILA
HK AKIENDESHA SHOW NEW MAISHA CLUB DAR
HYPERMAN HK Ni kijana mwenye kipaji cha kubuni vitu mbalimbali
zinavyohusu burudani kwa sasa yupo katika club ya kimataisha
inayojulikana kama new maisha club.yenye matawi yake dar,dodoma,mtwara
na morogoro. akiwa kama general intertaiment manager.. kwenye shughuli
yakubuni burudani zote zinazofanyika katika club hizo yeye ndio incharge
manyota.
Uzoefu wake wa miaka isiyopungua 15 katika game hii ndio inamfanya azidi kuwa nguli wa kazi hizi.
burudani nyingi zilizokuwa gumzo hapa mjini zimebuniwa na hk na majina
yakimytaani yenye kuwa gumzo kubwa kana neno bunyero bunyero.
Aidear hii ya kitofauti imewafanya watu wengi sana kumuona hk ni mtu
mwenye kipaji cha kipekee sana.. kwamana kuitoa burudani ya ushwahilini
na kuileta uzunguni na kukubalika haikuwa kazi ndogo lakini ilieleweka
na kukubalika sana. Mara ya kwanza burudani hii ya kibao kata iliyopewa
jina la BUNYERO BUNYERO watu hawakudhani kama itagfika huku ilipo lakini
ikawa ndio siku kubwa yenye kuingiza watu maisha club kuliko siku
zote..kwanza ilikuwa inafanyika siku ya jumatano lakini watu walijaa
hakuna sehemu ya club hapa dar inajaza watu hatamia siku ya jumatano
lakini maisha club kupitia program hii inaingiza watu wasiopungua 500
siku ya jumatano kwa kiingilio cha elfu 10.,,, kwasasa usiku huo umepewa
jina jipya linalojulikana kama usiku wa TAMNYETAMNYE.
Mengi yamefanywa na kijana huyu ebu anza kumfatilia ujue upeo wake zaidi juu ya ubunifu alonao kwenye facebook hemed kavu
instagram @hkhyper02
tweeter hyperman hk
whatsaap no 0713435543.
0 maoni:
Post a Comment