Ahmed Elmohamady
wa Hull City (katikati) akipambana na beki wa Manchester City, Gael
Clichy (kulia) mbele ya kipa Joe Hart katika mchezo wa Ligi Kuu ya
England jioni ya leo Uwanja wa Etihad. Timu hizo zilitoka 1-1, Hull
wakitangulia kupata bao dakika ya 35, mfungaji David Meyler wakati la
Man City lilifungwa na James Milner kwa shuti la mpira wa adhabu dakika za lala salama.
Wachezaji wa Man City wakishangilia baada ya kufunga goli la kusawazisha
0 maoni:
Post a Comment