Taulant
Xhaka wa Basle (kushoto) akipambana na winga wa Porto, Yacine Brahimi
katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya
uliofanyika Uwanja wa Jacob Park usiku huu. Timu hizo zilitoka
1-1, Derlis Gonzalez akianza kuifungia Basle kabla ya Danilo
kuisawazishia Porto kwa penalti baada ya Walter Samuel kuunawa mpira
kwenye enero la hatari.
LLL
0 maoni:
Post a Comment