Baada
ya Simba kufanya vibaya uongozi wa klabu na baadhi ya wadau wa karibu
wamekaa kikao cha dharula kufikiri kwamba kuna baadhi ya waandishi wa
habari ambao wanawaambia ukweli juu ya mwenendo wa Uongozi uliopo
madarakani kwamba ndio wanasababisha Simba kufanya vibaya.
Hivyo maamuzi ya kikao hicho ni kwamba kuanzia leo katika vipindi vya redio mbali mbali wameandaliwa wanachama kwa ajili ya kutetea madudu ya Uongozi na kuanza kuwaponda waandishi hao hivyo naombeni leo mchukue mda wenu kusikiliza redio mbali mbali hapa nchini ili muhifahamu sinema hiyo iliyoandaliwa na Uongozi katika kujitetea.
Lakini cha msingi mtandao mzima tunao na mawasiliano yao tunayo na meseji na namba wanazotumiana ili kupeana mgao kwa hao watangazaji watakaofanya kazi hiyo tunazo, kazi kwenu wadau
NAWASILISHA ASANTENI.

0 maoni:
Post a Comment