Mshambuliaji
Romelu Lukaku wa Everton akimuacha chini Danilo Silva wa Dynamo Kiev
katika mchezo wa Europa League jana usiku Uwanja wa Goodison Park.
Everton ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Steven Naismith na
Lukaku, wakati bao la Dynamo lilifungwa na Oleg Gusev. Timu hizo
zitarudiana mjini Kiev Alhamsi ijayo, Everton ikihitaji sare ili kwenda
Robo Fainali.
0 maoni:
Post a Comment