Mar 6, 2015

PICHA; MWONEKANO WA STUDIO ZA AZAM TV ZILIZOGHARIMU BILIONI 56

Mwonekano wa studio mpya na kisasa za Azam TV zilizopo Tabata Relini, Dar es Salaam ambazo ujenzi wake umegharimu zaidi ya dola za Kimarekani Milioni 31 ambazo ni zaidi ya Sh. Bilioni 56 za Tanzania.

Ni studio zenye hadhi ya kimataifa

Naibu Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando (kushoto) akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Yussuf bakhresa (kulia) jana 

Studio hizi zinatarajiwa kuzinduliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete

0 maoni:

Post a Comment