Mshambuliaji
wa Barcelona, Luis Suarez akiwa amemrukia mchezaji mwenzake, Lionel
Messi baada ya wawili hao wote kufunga mabao katika ushindi wa 4-0
kwenye mchezo wa La Liga dhidi ya Almeria Uwanja wa Camp Nou usiku huu.
Messi alifunga moja, Suarez mawili na lingine Marc Bartra.
0 maoni:
Post a Comment