Cristiano
Ronaldo akifunga bao lake la 300 katika mechi ya 288 tangu aanze
kuchezea Real Madrid katika mchezo wa La Liga dhidi ya Rayo Vallecano
usiku huu Uwanja wa Teresa Rivero. Bao lingine la Real lilifungwa na
James Rodriguez.
Ronaldo akishangilia bao lake la 300 pamoja na Gareth Bale
0 maoni:
Post a Comment