Video ya Nitampata wapi ya Diamond Platnumz baada ya kupitishwa kuchezwa kwenye kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa, bado imeendelea kufanya vizuri mpaka kupewa nafasi ya kuchezwa kama Smash Hit kwenye kituo hicho.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka zikionesha video hiyo ikichezwa kama #SmashHit
0 maoni:
Post a Comment