Feb 22, 2015

LIVERPOOL YAPATA USHINDI UGENINI

Southampton 0-2 Liverpool: Coutinho & Sterling ensure Rodgers' men march onTimu ya Liverpool imeibuka na ushindi  wa goli 2-0 ugenini dhidi ya wenyeji wao Southampton. Magoli ya Liverpool yamefungwa na  Philippe Coutinho dakika ya 3 na Raheem Sterling dakika ya 73.





EVERTON
2 - 2
LEICESTER

TOTENHAM 
2 - 2
WEST HAM UNITED


















0 maoni:

Post a Comment