Feb 22, 2015

YANGA SC YAICHAPA 3-1MBEYA CITY



Yanga SC ya Dar es salaam  imeifunga 3-1 Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Mabao ya Yanga yamefungwa na Simon Msuva, Mrisho Ngassa na Haruna Niyonzima. Sasa yanga ipo kileleni mwa ligi kuu England.

0 maoni:

Post a Comment