Feb 24, 2015

STAND NA SIMBA ZAINGIZA MIL 31, MBEYA CITY, YANGA MIL 74


Mchezo uliokuwatanisha wenyeji timu ya Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga dhidi ya timu ya Simba umeingiza jumla ya Sh milioni 31.

Juma la watazamaji 5,439 waliingia uwanjani kushuhudia mchezo huo, ambao timu ya Stand imepata mgao wa tsh. 6,564,268.22 na Simba wakipata mgao wa tsh. 4,661,581.78.

VAT (18%) tshs. 4,763,135.59 huku FA  mkoa wakipata tsh.665,940.25, FDF tsh. 1,141,611.86, Bodi ya Ligi Sh 1,522,149.15, Gharama za mchezo tsh. 1,617,283.47, Uwanja tsh. 2,854,029.66, Gharama ya tiketi Sh 1,593,000,00, FDF tsh. 2,921,000.00, TFF tsh.2,921,000.00

Katika uwanja wa Sokoine mbeya jumla ya Sh 74,600.000.00, zilipatikana kutokana na watazamaji 14,920 waliokata tiketi kushuhudia mchezo huo,  VAT(18%) tsh.11,379,661.02, CDRB (5%)  Sh 3,730.000.00.

FDF Sh 5,222,000,00, TFF Sh 2,238,000.00, Uwanja Sh 7,804,550,85, Gharama za mchezo tsh 4,442,578.81, Bodi ya Ligi Sh 4,162,427,12. Chama cha soka mkoa (FA) Mbeya kimepata Sh1,821,061.86, FDF(TFF) Sh 3,121,820.34, wenyeji timu ya Mbeya city wakipata Sh 17,950,466.95 na klabu ya Yanga tsh. 12,747,438.98

0 maoni:

Post a Comment