SWALI LIMEULIZWA
KUPITIA KATIKA MTANDAO WA DAILYMAIL WA UINGEREZA. KWAMBA WAKATI MAN CITY
WAKO BUSY WAKIJIANDAA NA MECHI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA, JIRANI ZAO
MAN UNITED, WAKO BUSY WANACHEZA NA WATOTO. JE, MAN CITY NDIYO WAFALME
WAPYA WA JIJI LA MANCHESTER KAMA ILIVYOKUWA MAN UNITED WAKATI WA ALEX
FERGUSON? |
0 maoni:
Post a Comment