KLABU ya Manchester City ipo tayari kumpa ofa ya Ubalozi wa klabu, kiungo wake Yaya Toure atakapostaafu soka.
Nahodha
huyo wa Ivory Coast, amebakiza miaka miwili na nusu katika Mkataba wake
wa sasa, lakini City inafungua mazungumzo ya kumuongezea Mkataba, kwa
sasa akiwa analipwa Pauni 220,000 kwa wiki, na pia kumuahidi kazi
nyingine atakapostaafu soka.
Akiwa ana umri wa miaka 31, huo unatarajiwa kuwa Mkataba wa mwisho wa fedha nyingi kwa Toure.
Manchester City ipo tayari kumopa Ubalozi wa klabu Yaya Toure atakapostaafu soka
0 maoni:
Post a Comment