Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi ameibuka shujaa katika mchezo wa leo baada ya kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 dhidi ya Yanga jioni hii. Okwi alifunga goli hilo dakika ya 52 baada ya kumchungulia kipa wa Yanga Barthez aliye toka langoni mwake.Hawa ni baadhi ya mashabiki waliojitokeza katika mchezo wa leo.
0 maoni:
Post a Comment