Beki Jonny Evans wa Man United na mshambuliaji
wa Newcastle, Papiss Cisse wameonyesha utoto utafikiri wachezaji wachanga wa
mchangani tena Bongo.
Wachezaji hao wawili wamefikia hatua ya kutemeana mate wakati wa mechi ya Ligi
Kuu England timu zao zilipokutana na Man United kushinda kwa bao 1-0.
0 maoni:
Post a Comment