Serikali imesitisha matumizi ya
tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia leo
(Machi 3, 2015) hadi kasoro zilizopo katika matumizi ya tiketi hizo
zitakapoondolewa.
Uamuzi huo umetangazwa leo (Machi 3, 2015) jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Juma Nkamia mbele ya viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na benki ya CRDB.

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia (katikati) amesitisha matumizi ya tiketi za Elektroniki katika mechi za soka nchini |
0 maoni:
Post a Comment