Mshambuliaji
wa Chelsea, Mohammed Salah anayecheza kwa mkopo Fiorentina ya Italia,
akishangilia baada ya kuifungia timu yake ya mkopo bao la pili katika
ushindi wa 2-0 dhidi ya Totenham Hotspur usiku nchini Italia katika
mchezo wa Europa League. Bao la kwanza la Fiorentina lilifungwa na
mshambuliaji wa zamani wa Bayern Munich, Mario Gomez na hivyo wameitoa Spurs kwa jumla ya mabao 3-1, baada ya sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza.
0 maoni:
Post a Comment