Simba iko katika hatua za
mwisho kumaliza dili la kuingia mkataba wa udhamini na Kampuni ya Mohammed
Enterprises.
Taarifa zinasema kampuni
hiyo kupitia kinywaji chake cha Mo Cola huenda ikatoa hadi Sh milioni 500 kwa
Simba.
Hata hivyo haijajulikana
kiasi hicho kitakuwa kwa ajili ya mkataba wa miaka mingapi.
SALEHJEMBE inaendelea kufuatilia juhudi hizo za uongozi wa Simba kuikamata Mo Cola.
0 maoni:
Post a Comment