Jan 31, 2015

CHELSEA, MAN CITY KUWAKOSA NYOTA LEO


Yaya Toure of Manchester City competes with Cesc Fabregas of Chelsea during the Barclays Premier League match between Manchester City and Chelsea at the Etihad Stadium on September 21, 2014
CHELSEA leo wanaikaribisha Manchester City katika uwanja wa Stamford Bridge na timu hizi mbili zimekuwa na kiwango kizuri msimu huu.
Mechi hii inayoanza saa 2:30 usiku inatarajia kuwa na msisimko mkubwa kutokana na ubora wa wachezaji wa timu zote.
The Blues chini ya Jose Mourinho itamkosa Cesc Fabregas anayesumbuliwa na majeruhi pamoja na Diego Costa aliyefungiwa mechi tatu.
Man City chini ya Manuel Pellegrini wanamkosa Yaya Toure ambaye anaitumikia Ivory Coast katika michuano ya kombe la mataifa ya Africa inayoendelea nchini Guinea ya Ikweta.
RATIBA YA MECHI ZOTE ZA LEO EPL HII HAPA
15:45
Hull City
Newcastle United
18:00
Crystal Palace
Everton
18:00
Liverpool
West Ham United
18:00
Manchester United
Leicester City
18:00
Stoke City
Queens Park Rangers
18:00
Sunderland
Burnley
18:00
West Bromwich Albion
Tottenham Hotspur
20:30
Chelsea
Manchester City

0 maoni:

Post a Comment