Jan 31, 2015

CONGO DR YAFUZU NUSU FAINALI KOMBE LA MATAIFA AFRIKA


 

DR Congo ilitoka nyuma na kuishinda Congo kwa mabao 4-2 na kufika katika semi fainali ya mechi za kombe la Afrika.
Congo DR ilitoka nyuma 2-0 na kuishinda Congo katika mechi iliokuwa na kasi na mchezo mzuri kutoka pande zote mbili.
Ferebory Dore alifunga krosi safi huku Thievy Bifouma akifanya mabao kuwa 2-0.
Katika dakika ya 16 Diermerci Mbokani alifunga bao la kwanza ,kabla ya Bolika kufunga bao la pili naye Joel Kimuaki akafunga bao la tatu.
Mbokani aliwazunguka tena mabeki wa Congo na kufunga bao la nne na la ushindi katika shambulizi la ghafla.

0 maoni:

Post a Comment