Barcelona imefanikiwa kushinda kwa mabao 2-1 katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa hatua ya 16 Bora.
Barcelona imeshinda kwa mabao hayo ugenini
dhidi ya wenyeji wake Manchester City huku Luis Suarez akiwa shujaa kwa kufunga
mabao yote mawili.
Lionel Messi alipata nafasi ya kufunga
mkwaju wa penalti baada ya kuangushwa na Zabaleta katika dakika ya 90 lakini
Joe Hart akaokoa, mpira ukamrudia Messi, akakosa.
Sergio Aguero ndiye alifunga bao pekee la
Barcelona, akionyesha juhudi binafsi na kufanikiwa kufunga bao tamu kabisa.
0 maoni:
Post a Comment